Wanasiasa wahoji uwezekano wa kuchaguliwa tena Rais wa zamani Donald Trump akigombea 2024

Your browser doesn’t support HTML5

Katika kinyang'anyiro cha urais mwaka 2024 uwezekano wa kuchaguliwa tena Rais wa zamani Donald Trump unahojiwa baada ya kujisalimisha huko Georgia katika kesi ya wiki iliyopita inayohusu ubadhirifu katika uchaguzi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari