Juhudi za uokozi zinaendelea Tanzania kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyouwa watu zaidi ya 50

Your browser doesn’t support HTML5

Juhudi za uokozi zinaendelea kaskazini mwa Tanzania kufuatia maporomoko ya ardhi, na kuua watu zaidi ya hamsini na kuharibu miundombinu.

Mashambulizi yanaendelea huko Gaza licha ya viongozi kutoa wito wakusitishwa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari