DRC yapiga kura, uchaguzi wakabiliwa na changamoto kadhaa
Your browser doesn’t support HTML5
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo iko katika uchaguzi wa rais na wabunge siku ya Jumatano baada ya kampeni zilizoshuhudia vurugu na shutuma za wizi, ghasia, na kukwama kwa vifaa ambavyo vinaweza kuwazuia wengi kupiga kura.