Kampuni ya madini ya GGML huko Tanzania ambayo huwapatia fursa wanafunzi wa vyuo vikuu kazi za vitendo imefanikiwa kuwapa ajira baadhi yao

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.