Mwalimu Jasper wa St.Mary's jijini Nairobi huko Kenya anaelezea mikakati ya kuwasaidia vijana kielimu na kuondokana na ukosefu wa ajira

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.