Wapinzani 15 wa Macky Sall wa Senegal wamtaka atangaze uchaguzi wa rais haraka

Your browser doesn’t support HTML5

Wagombea 15 kwenye uchaguzi ulioahirishwa nchini Senegal wamemshtumu Rais Macky Sall kuwa na nia mbaya na wameapa kuchukua hatua kuhakikisha tarehe mpya ya uchaguzi inatangazwa kwa haraka.