Hatimaye Hungary yaidhinisha Sweden kujiunga na NATO
Your browser doesn’t support HTML5
Sweden inatarajiwa kujiunga rasmi na NATO katika siku au wiki zijazo, baada ya Hungary hatimaye kutoa idhini yake siku ya Jumatatu – mwanachama wa mwisho kufanya hivyo.