Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dr Akinwumi Adesina anasema "siamini kwamba mustakbali wa vijana wa Afrika uko ulaya au Marekani.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.