Kampuni ya Huawei ya China imetangaza mipango ya kimataifa inayolenga kuendeleza vipaji vya dijitali na uongozi kwa vijana duniani kote.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.