Kura zaendela kuhesbiwa Senegal huku wafuasi wa mgombea kwa tikiti ya upinzani wakishangilia "ushindi" mitaani

Your browser doesn’t support HTML5

Hesabu za kwanza katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal Jumapili zinaonyesha mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye akiongoza. Wafuasi wake walianza kusherekea mitaani baada ya siku ya amani ya uchaguzi ambayo wengi wanatumaini utaleta mabadiliko.