Wanawake mashariki mwa DRC wanasema Waziri Mkuu mpya wa kwanza mwanamke nchini humo anatazamiwa kutetea haki za wanawake na kuleta amani.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.