Mafuriko nchini Burundi yasababisha uharibifu mkubwa wa mali

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali za nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zatoa tahadhari kwa raia, kufuatia mvua kuba zinazoendelea, zilizosababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.