Kijana mkimbizi kutoka kambi ya Kakuma nchini Kenya anaelezea maisha ya vijana katika kambi za wakimbizi
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.