Kenya yapokea zaidi ya shilingi bilioni 27 kutoka EU, na Benki ya maendeleo ya Ufaransa kwa ajili ya usambazaji wa umeme vijijini.

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.