Mjadala wa Live Talk kuhusu kupatikana na hatia kwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, mbele ya jopo la mahakama ya New York
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.