UNICEF inasema ukiukwaji wa haki za watoto huko mashariki mwa DRC umeongezeka kwa asilimia 30, je wanaharakati wa haki za watoto wanasemaje?

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.