Mkazi wa Morogoro nchini Tanzania anatoa maoni kuhusu madaktari bingwa nchini humo wanaotembelea mikoani kutoa huduma zaidi za matibabu

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.