Mdau wa sekta ya elimu na haki za wanafunzi anaeleza changamoto zinazopelekea wanafunzi kidato cha pili Tanzania kufeli mitihani.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.