Maoni tofauti yanaendelea kujitokeza kufuatia kuuwawa kwa kiongozi wa kundi la Hamas

Your browser doesn’t support HTML5

Maoni tofauti yanaendelea kujitokeza kufuatia kuuwawa kwa kiongozi wa kundi la Hamas nchini Iran.

Suala la utoaji mimba limetawala katika kampeni za ugombea urais wa Marekani kwa kujaribu kuwavuta wapiga kura wa pande zote.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari