Mwanariadha Rebecca Cheptegei raia wa Uganda amefariki baada ya kupata majeraha ya moto yaliyotokana na kumwagiwa petroli na mpenzi wake
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.