#Livetalk: Maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani
Your browser doesn’t support HTML5
Jumamosi ulimwengu unaadhimisha Siku ya Walimu Duniani, tarehe iliyotengwa na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuwaenzi walimu kote duniani, na kuangazia changamoto wanazopitia na mafaniko wanayojivunia.