Vijana wanaelimishwa kujua umuhimu wa kusikiliza muziki kwamba sio tu sehemu ya burudani lakini pia unasaidia katika tiba ya afya ya akili

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.