Vijana nchini Kenya wanaaswa kutambua na kujilinda na maambukizi ya HIV ambayo yanaongezeka kwenye kundi la miaka 15 hadi 24.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.