Shambulio jingine la risasi katika shule ya msingi ya binafsi nchini Marekani limesababisha vifo na majeruhi kadhaa.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.