Wakaazi wa Afrika mashariki wanaelezea maandalizi ya sherehe za Krismas katika maeneo yao.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.