Msanii Tems ameshinda tuzo za 67 za Grammy nchini Marekani katika kipengele cha Best African Music Performance.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.