Vijana nchini Uganda inaripotiwa wanapata shida ya afya ya akili kutokana na wazazi au walezi kukosa muda wa kusikiliza mahitaji yao.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.