Mkurugenzi wa haki za watoto na vijana Afrika mashariki anasema vijana wanapaswa kujifunza elimu ya vitendo na nadharia kujiandaa kimaisha.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.