Mawaziri wa mambo ya nje wa UAE wanakutana Misri kabla ya mkutano wa viongozi wa kukabiliana na pendekezo la Trump kuutwaa ukanda wa Gaza.
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.