Wanawake nchini DRC wanaelezea magumu wanayoyapitia wakati dunia inajiandaa kusheherekea siku ya mwanamke kimataifa.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.