Vijana katika eneo la Afrika mashariki wanaelezea changamoto za bei ya vyakula katika mfungo wa mwezi wa Ramadhan.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.