AFCON 2019 : Je, ulishuhudia haya maajabu?

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya picha zilizokuwa na mvutio mkubwa kwa watazamaji siku ya Ijumaa wakati wa pambano kati ya Misri na Zimbabwe.
Katika pambano hilo Misri iliibuka kidedea baada ya kuifunga Zimbabwe moja bila.