AFCON 2019 MISRI : Hali ilivyokuwa mchezo wa Afrika Kusini, Misri

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya wapenzi wa soka nchini Misri wajitokeza katika pambano la Afrika Kusini na Misri.
Shamra shamra, magoma, tarumbeta zilitawala wakati wote wa mchezo huo. Lakini mara baada ya kumalizika mchezo mji wa Misri ulikwenda kulala, baada ya timu yao kutolewa moja bila na timu ya Afrika Kusini.

Imetayarishwa na Mwandishi wetu, Sunday Shomari