AFCON 2019 : Uganda yaishukuru Afrika Mashariki kwa kuwaunga mkono

Your browser doesn’t support HTML5

Mchezaji wa kimataifa wa Uganda Emmanuel Okwi, amewashukuru wana Afrika Mashariki kwa kuinga mkono timu ya Uganda na kuwa moyo wakati wote wa michuano hiyo.
Okwi ambaye pia anachezea timu ya Simba ya Tanzania alifanya mahojiano na mwandishi wa VOA Sunday Shomari, mjini Cairo, Misri Julai 06, 2019...