Afrika Kusini yaendelea na uchunguzi kuhusiana na ajali ya moto iliyouwa watu 70

Your browser doesn’t support HTML5

Afrika Kusini yaendelea kufanya uchunguzi kuhusu ajali ya moto iliyosababisha vifo vya watu zaidi ya 70.

Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe kimeitisha maadamano nchi nzima...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari