Al - Shabaab wauwa watu sita na kuchoma vijiji pwani ya Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Al-Shabaab wauwa watu sita na kuchoma vijiji pwani ya Kenya na msako mkali unaendelea nchini.
- Waziri Mkuu wa Sudan ajiuzulu na kuiweka nchi katika njia ngumu zaidi kurudi katika utawala wa kidemokrasia.

- Kenya yaomboleza kifo cha mwanamazingira maarufu na msomi wa mambo ya kale ya binadamu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari