Mgombea huyo ameeleza furaha yake na kuridhishwa na fursa aliyoipata kupiga kura pamoja na wananchi wengine.
Angola: Mgombea wa upinzani Adalberto Costa aeleza furaha yake kupiga kura na wananchi
Your browser doesn’t support HTML5
Mgombea wa chama kikuu cha upinzani nchini Angola Adalberto Costa Junior amekuwa ni miongoni mwa wananchi wa Angola waliojitokeza jijini Luanda kupiga kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumatano.