Athari za ushuru wa Marekani kwa nchi za Canada, Mexico na China zadhihiri

Your browser doesn’t support HTML5

Ushuru wa Marekani kwa nchi za Canada, Mexico na China waonyesha matokeo mbalimbali.

Mkutano wa Kumi wa maafisa wa Marekani na Afrika, wa uwekezaji wa nishati wafanyika leo na kesho kwa ajili ya kuangalia maswala ya ushirikiano kati ya Marekani na Afrika.


Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.

#habari