Baadhi ya majimbo Marekani yasonga mbele kudhibiti utoaji mimba

Your browser doesn’t support HTML5

Kufuatia uamuzi wa mahakama ya juu kufuta sheria ya serikali kulinda utoaji mimba nchini Marekani, baadhi ya majimbo yanasonga mbele na kuweka masharti zaidi kwa utaratibu huo au kufuta kabisa sheria hiyo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari