Baraza Kuu la UN lakubali pendekezo la kupiga kura dhidi ya Russia

Your browser doesn’t support HTML5

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga kura Alhamisi kuhusu pendekezo la Marekani kutaka Russia kuondolewa kutoka Baraza la Haki za Binadamu la Umoja huo.

- Bajeti ya mwisho chini ya utawala wa Rais Uhuru Kenyatta yasomwa Alhamisi Kenya.

- Rwanda yaadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya kimbari yaliyotokea mwaka 1994.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari