Biden atarajiwa kuzuru Israel huku mzozo wa kibinadamu ukiongezeka Ukanda wa Gaza

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kuzuru taifa la Israel Jumatano huku mzozo wa kibinadamu ukiongezeka huko Ukanda wa Gaza kabla ya uvamizi wa ardhini unaotarajiwa kufanywa na jeshi la Israel.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari