Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Blinken ahudhuria kikao cha Baraza la Usalama cha UN kujadili hali ya Mashariki ya Kati
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken yuko mjini New York leo kushiriki katika mkutano wa Baraza la Usalama, ngazi ya mawaziri kuhusu hali ya Mashariki ya Kati.