Chama tawala Angola chapata kura asilimia 52 uchaguzi wa wabunge

Your browser doesn’t support HTML5

Kura nyingi katika uchaguzi wa wabunge nchini Angola na matokeo ya muda yanaonyesha chama tawala cha MPLA kiko mbele kwa asilimia 52.

Kampeni ya chanji ya Ebola nchini DRC imeanza Alhamisi katika mji wa Beni baada ya kesi mpya ya maambukizo kuthibitishwa na WHO.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari