China na Marekani zaeleza matumaini ya kushirikiana, zinaweza kuweka kando tofauti zao

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden na mwenzake Rais wa China Xi Jinping wameeleza matumaini ya kushirikiana na nchi hizi mbili zinaweza kukabiliana na kuongezeka kwa tofauti kati yao.

Mapambano kati ya kundi la waasi wa M23 na jeshi la DRC yanaendelea nchini DRC kuelekea mji wa Goma huku wananchi wakiomba kurejeshwa amani

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari