China yaapa kulipiza kisasi dhidi ya kile ilichosema ni ushuru wa kiholela wa Trump

Your browser doesn’t support HTML5

China imeapa kulipiza kisasi katika kile ilichosema ni ushuru wa kiholela wa utawala wa Trump.

Dunia imeanza kuadhimisha siku ya wanawake kuelekea kilele Machi 8 kauli mbiu ikiwa haki, usawa na uwezeshwaji kwa wanawake na wasichana.


Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.

#habari