Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
China yapinga vikali sana kuingilia masuala ya Taiwan
Your browser doesn’t support HTML5
China imesema siku ya Alhamisi inapinga vikali Marekani kuingilia katika masuala ya Taiwan.