China yasema haina taarifa za kueleza kuhusu kutoonekana hadharani kwa waziri wake

Your browser doesn’t support HTML5

Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema haina taarifa za kueleza kuhusu kutoonekana hadharani kwa waziri wa mambo baada ya wiki tatu tangu alipoonekana mara ya mwisho.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari