Dharuba kali ya theluji yaleta usumbufu mkubwa Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Dharuba kali ya theluji imesababisha vifo, usumbufu mkubwa wa usafiri wa ndege na magari nchini Marekani.

Vatican imehimiza waumini wa Kanisa Katoliki kumuombea Papa mstaafu Benedict ikisema anaumwa sana.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.