DRC: Baadhi ya wagombea walaani utaratibu uliyotumika katika uchaguzi 2023

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya wagombea uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo walaani utaratibu uliyotumika katika uchaguzi mkuu 2023 wakati wananchi wakiendelea kusubiri matokeo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari