Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
DRC: Papa Francis awaasa vijana kuwa waadilifu
Your browser doesn’t support HTML5
Akiendelea na ziara yake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Papa Francis amewawasa vijana kuwa na uadilifu, kusamehe na kujenga ushirikiano kati yao.